Je, mafuta yenu ni ya ubora wa hali ya juu?
Je, mafuta yenu ni ya ubora wa hali ya juu?
Ndiyo, tunazingatia viwango vya ubora kwa ukamilifu na mafuta yetu hupimwa mara kwa mara na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kuhakikisha yanakidhi viwango vya kitaifa. Tumejizatiti kutoa mafuta yenye ubora wa juu kwa wateja wetu.