Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)

Tanoil Investments Limited

Dira & Dhamira

Dira

Kuwa Kampuni kinara na chaguo bora katika biashara ya mafuta nchini na kikanda, inayofanya shughuli zake kwa njia endelevu.

Dhamira

Kutoa suluhisho na ubunifu endelevu wa nishati unaozingatia mahitaji ya masoko ya ndani na ya kikanda, kwa kukuza ushirikiano, kuwekeza katika teknolojia safi za nishati, kuimarisha nguvu kazi yenye motisha, kujenga utamaduni thabiti na shirikishi wa biashara, kutoa huduma zenye ubora katika kutimiza matarajio ya wadau, pamoja na kuimarisha uimara wa kifedha wa Kampuni.