Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)

Tanoil Investments Limited

Bei za mafuta huamuliwaje?

Bei za mafuta hutangazwa kila mwezi na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kama bei ya juu na ya chini (cap and floor). Kisha tunatoa punguzo mbalimbali ndani ya viwango hivyo.