Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)

Tanoil Investments Limited

Mnakubali njia gani za malipo kwenye vituo vyenu?

Tunapokea njia mbalimbali za malipo ikiwa ni pamoja na pesa taslimu, kadi kuu za mabenki, na malipo kwa njia ya simu. Kadi za mafuta zitaongezwa hivi karibuni. Kwa upande wa mafuta ya jumla, tunapokea malipo benki kupitia akaunti zetu mbalimbali kama NMB, CRDB, NBC, na Stanbic Bank.