Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)

Tanoil Investments Limited

Ni bidhaa na huduma gani zinazotolewa na Kampuni yenu?

Tunauza bidhaa mbalimbali za mafuta ya petroli ikiwa ni pamoja na petroli (Gasoline, PMS), dizeli (Gasoil, AGO), na tunapanga kutoa aina mbalimbali za vilainishi(Lubricants) kwa magari na matumizi ya viwandani pamoja na mitungi ya gesi(LPG) Huduma zetu zinajumuisha mauzo ya mafuta kwa rejareja na mauzo ya mafuta kwa jumla.