Vituo vyenu vya huduma vipo wapi?
Vituo vyenu vya huduma vipo wapi?
Kwa sasa tunavyo vituo viwili vya mafuta vilivyopo Singida Mjini na Geita Mjini. Tunaendelea kuongeza vituo vingine vya mafuta ili tuweze kuwafikia vizuri zaidi.