Mnayo hifadhi ya mafuta na ipo wapi?
Mnayo hifadhi ya mafuta na ipo wapi?
Kwa sasa tunafanya kazi kwa makubaliano ya ukaribisho katika maghala (depot) mbalimbali zilizopo Kigamboni.