Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)

Tanoil Investments Limited

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Vituo vyetu vya mafuta vinafanya kazi saa 24 kwa siku, siku 7 za wiki. Kwa upande wa mauzo ya mafuta kwa jumla, saa zetu za kazi ni kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni, Jumatatu hadi Ijumaa (isipokuwa siku za sikukuu na mapumziko ya kitaifa).  
Kwa sasa tunavyo vituo viwili vya mafuta vilivyopo Singida Mjini na Geita Mjini. Tunaendelea kuongeza vituo vingine vya mafuta ili tuweze kuwafikia vizuri zaidi.
Tunauza bidhaa mbalimbali za mafuta ya petroli ikiwa ni pamoja na petroli (Gasoline, PMS), dizeli (Gasoil, AGO), na tunapanga kutoa aina mbalimbali za vilainishi(Lubricants) kwa magari na matumizi ya viwandani pamoja na mitungi ya gesi(LPG) Huduma zetu zinajumuisha mauzo ya mafuta kwa rejareja na ma...
Tanoil Investments Limited  ilianza mwaka 2009